Thursday, August 13, 2015

Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (x 10) Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

Application Deadline: 25 Aug 2015
Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (x 10) POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, August 5th 2015
KWA NAFASI NYINGINE BOFYA LINK HIYO CHINI>>>> 


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi anatangaza na
kukaribisha maombi ya kazi kwa nafasi za kazi zifuatazo:

Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (Nafasi 10)
A: Sifa
Awe arnehitirnu Kidato cha Nne au Sita na awe amehitimu Cheti cha Utunzaji
Kumbukumbu katika mojawapo ya Fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi

B: Mshahara
Cheo cha Msaidizi wa Kumbukumbu Oaraja la II kina Mshahara wa TGS B
C: Majukumu na Kazi za Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II

Kutafuta Kumbukumbu/NyarakalMafaili yanayohitajiwa na wasomaji
Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa Kumbukumbu Nyaraka
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga Kumbukumbu/nyaraka katika
makundi kulingana na somo husika (Classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi
Kuwekalkupanga Kumbukumbul Nyaraka katika reki (file racks/cabinets)
katika Masjalalvyumba vya kuhifadhia Kumbukumbu
Kuweka Kumbukumbu (barua, nyaraka nk) katika mafaili
Kushuqhulikia maombi ya Kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
KWA NAFASI NYINGINE BOFYA LINK HIYO CHINI>>>> 


Masharti ya jumla kwa nafasi zote
Mwombaji awe Mtanzania umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na kuturnwa kwa anuani iliyotajwa chini
Mwombaji aambatishe nakala za Vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa.
Kwa wale watakaoitwa katika mahojiano (Interview) watatakiwa kufika na nakala halisi za Vyeti husika

APPLICATION INSTRUCTIONS: Mwisho wa kupokea maombi itakuwa tarehe 25.08.2015 saa 9.30 mchana.
Barua zote zitumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya Bariadi
S.L.P. 109, BARIADI.
KWA NAFASI NYINGINE BOFYA LINK HIYO CHINI>>>>

Katibu Mahsusi Daraja la III Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

Application Deadline: 30 Aug 2015
Katibu Mahsusi Daraja la III POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 6 August 2015

Katibu Mahsusi Daraja la III Ngazi ya Mshahara TGS B (nafasi 2)

Awe na Elimu yo kidato cha IV au VI
Elimu ya Kidato cha Nne (IV),
Awe amehudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu,
Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno BO kwa dakika moja,
Awe amepata mafunzo ya Komputa kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali na Kupata
Cheti katika Program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email no Publisher,

MAJUKUMU
Kuchapa barua, taarifa no nyaraka za kawaida.
Kusaidia kupokea Wageni na Kuwasaili shido zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa,
Kusaidia kutunza kumbukumbul taarifa za matukio, miadi, Wageni, tarehe za vikoo safari za Mkuu wake no ratiba yo kazi zingine zilizopagwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi no kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini.
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa Wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu tarifa zozote atakazokuwa amepewa na wasaidizi hao. '
Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maafisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohuslka.
Kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.


APPLICATION INSTRUCTIONS Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora

Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III-x 10 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

Application Deadline: 30 Aug 2015
Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III-x 10 POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 6 August 2015

Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III - nafasi 10

Awe na elimu ya Kidato cha nne (IV) au Sita (VI), awe na Cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo wa fani za Utunzaji kumbukumbu.

Kazi atakazafanya:
Kuandaa na kutunza (Maintain) utaratibu upatikanaji
kumbukumbu/ nyaraka/taarifa
Kutafuta mafaili/kumbukumbu
Kukusanya na kuhifadhi taarifa/kumbukumbu
Kazi hizi atazifanya kwa maelekezo ya wataalam wa kumbukumbu walio juu yako.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
KWA NAFASI MPYA BOFYA HAPO CHINI>>>>>>> 

Katibu Mahsusi III (x 5) Halmashauri ya Wilaya Ikungi

Application Deadline: 18 Aug 2015
Katibu Mahsusi III (x 5) POSITION DESCRIPTION:
HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
(MARUDIO)
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI

NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO

2. NAFASI YA KAZI; KATIBU MAHSUSI III – (NAFASI 05)
SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

ZA MWOMBAJI
• Awe wamehitimu wa kidato cha nne (IV)
• Awe amehudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu
• Awe amefaulu somo la HatiMkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja
• Awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email na Publisher

KAZI NA MAJUKUMU
a) Kuchapa barua , taarifa na nyaraka za kawaida
b) Kusaidia kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
c) Kusaidia kutunza taarifa /kumbukumbu za matukio, mladi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratibaya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumuarifu mkuu wake kwa wakati unaohitajika
d) Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini
e) Kusaidia kufikisha maelezo ya mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokua amepewa na wasaidizi hao
MSHAHARA:
Mshahara wa kuanzia ni kima cha serikati katika ngazi ya TGS. B

UTARATIBU WA UOMBAJI:
• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
• Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
• Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu
APPLICATION INSTRUCTIONS:
N.B; Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-

MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA


Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 Alasiri
KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPO CHINI>.>>>

Msaidizi Wa Ofisi (Office Assistant) (X 5) Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

Application Deadline: 18 Aug 2015
Msaidizi Wa Ofisi (Office Assistant) (X 5) POSITION DESCRIPTION:
HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
(MARUDIO)
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO


4. NAFASI YA KAZI : MSAIDIZI WA OFISI (OFFICE ASSISTANT)- (NAFASI 5)
SEHEMU; Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi


SIFA ZA MWOMBA.Jl:
• Awe wamehitimu wa kidato eha nne (IV) na waliofauJu vizuri katika masomo ya kiingereza, kiswahili na Hisabati.

KAZI/ MAJUKUMU YA MSAIDIZI WA OFISI
a) Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vurnbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo.
b) Kuchuka na kupeleka rnajalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
c) Kusambaza barua za ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa
d) .Kutayarisha chai ya ofisi

MSHAHARA
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGOS 'A'

UTARATIBU WA UOMBAJI:
• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
• Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
• Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
• Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
• Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
• Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu
APPLICATION INSTRUCTIONS:
N.B; Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-

MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA


Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tar 18 Agosti, 2015 saa 9:30 Alasiri

Katibu Mahsusi III (x 5) Halmashauri ya Wilaya ya Momba

Application Deadline: 19 Aug 2015
Katibu Mahsusi III (x 5) POSITION DESCRIPTION:
Halmashauri ya Wilaya ya Momba

KATIBU MUHTASI III - TGS B. (NAFASI 5)

SIFA:
KuajiriwahitimuwaKidato cha IV wenyecheti cha MafunzoyaUhazilikutoka Chuo cha Utumishi-
waUmma au Chuo chochotekinachotambulikanaSerikali. Awe amefaulusomo la Hatimkatoya
Kiswahili naKiingerezamaneno 80 kwadakikamoja (1).

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI.
1. Awe raiawa Tanzania.
2. Awe naumriusiopunguamiaka 18 nausiozidimiaka 45.
3. Mwombajiaambatishecheti cha kuzaliwa
4. Mwombajiaambatishemaelezobinafsiyanayojitosheleza (CV)
5. Maombiyaambatanenavyetivyakitaaluma, nakalazavyetivyakidato cha nne au sitakwa wale
waliofikakiwangohichonavyetivyakuhitimumafunzombalimbalikwakuzingatiasifazakazi-
husika.
6. "Testimonials, Provisional results, Statements of results, Hatiyamatokeozakidato cha nnen-
asitahavitakubaliwa".
7. MwombajikaziambayetayarinimwajiriwawaSerikaliasiombe
APPLICATION INSTRUCTIONS:
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE:19.AGOSTI.2015
MAOMBI YATUMWE KWA:

MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 273, TUNDUMA - MOMBA
MBEYA

Katibu Mahsusi III Halmashauri ya Wilaya Chunya

Application Deadline: 21 Aug 2015
Katibu Mahsusi III POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi,Agosti 7 2015

Katibu Muhtasi III- NAFASI 1.

Sifa:
Awe na elimu yo kidato cha IV au VI
Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili.
Awe amefaulu masomo ya hati Mkato, Kiingereza no Kiswahili, Maneno 80 kwa dakika mojo. .
Awe amehudhuria na kufaulu mafunzo ya Computer katika chuo
chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika
Program za Windows, Microsoft Office, Internet, e.mail no Publisher .
Awe no umri usiopungua miaka 18 no usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi yo mshahara TGS B sawa no Tshs.
345,OOO/=kwa mwezi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Masharti ya Jumla:
Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyeti vya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.
Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.
Picha mojo yo rangi (Passport Size).
Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.
(e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.

Maombi yatumwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S.L.P. 73,CHUNYA

KUONA NAFASI NYINGINE BOFYA HOPO CHINI>>>>>>>

Assistant Lecturer/Lecturer-Library And Information Studies at Tumaini University Dar-es-Salaam College (TUDARCo)

Application Deadline: 21 Aug 2015
Assistant Lecturer/Lecturer-Library And Information Studies POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, Agosti 10 2015

VACANCIES .
Tumaini University Dar-es-Salaam College (TUDARCo), based in Dar es Salaam, is one of the constituent colleges of the Tumaini University Makumira. The College offers a wide range of undergraduate and postgraduates programs in .education, social sciences, business and law. In an effort to continue providing high quality education and training, carry out high calibre research and consultancy & service, the College wishes to recruit additional academic and administrative staff as follows:

REQUIREMENT

FACULTY OF ARTS AND SOCIAL SCIENCES
LIBRARY AND INFORMATION STUDIES(ONE POSITION)

Assistant Lecturer/Lecturer (1 post)'

Qualifications
Holder o] Master/Ph.D. Degree in Computer Science .or ICT-related fields with at least three years of University teaching experience' as an Assistant Lecturer or Lecturer.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
REMUNERATION:
Successful candidates will be offered attractive packages commensurate with their qualifications and experience. Only short-listed applicants will be contacted.

Interested qualified and suitable individuals should forward their applications accompanied with detailed curriculum vitae, relevant copies .of transcripts, certificates and day-time telephone confects and three referee's details to the address below net later than 21 st August 2015.
Note that the Collage requires a minimum GPA .of 3.7: Upper Second Class for the First degree to qualify as a teaching staff. .
Applicants who have already submitted their applications need net reapply.

All applications should be directed to:
The Provost,
Tumaini University Dar es Salaam College,
P. O. Box 77588