Monday, September 21, 2015

Msaidizi wa Kumbukumbu Masijala ya Ardhi Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Application Deadline: 12 Oct 2015
Msaidizi wa Kumbukumbu Masijala ya Ardhi POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 21st Septemba2015
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ·zilizotajwa katika tangazo hili.

Nafasi zinazotangazwa 'ni kama ifuatavyo:-

Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La ll: Nafasi 5
Nafasi 3 -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya kawaida
Nafasi I -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Ardhi -
Nafasi I -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Afya

Ngazi ya Mshahara: TGS B

Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Ardhi -

(i) Kushughulikia madai/malalamiko ya hati za viwanja, na kutunza kumbukumbu zake
(ii) Kutunza kumbukumbu za cadastral surveys na mahesabu yake
(iii) Kuandaa nakala za cadastral site plans
(iv) Kutunza miongozo ya ramani na viwanja

Sifa nyingine za Jumla:
(i) Mwombaji awe raia wa Tanzania
(ii) Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40.
(iii} Maombi yake yaambatishwe picha (passport size) na vielelezo rya sifa zake.
(iv) Cheti cha kuzaliwa kiambatishwe pia
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S.L.P. 526, Bariadi
Tangazo hili Iimetolewa leo tarehe 21.09.2015

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12.10.2015 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri

Msaidizi Wa Kumbukumbu Masijala ya Kawaida-X 3 Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Application Deadline: 12 Oct 2015
Msaidizi Wa Kumbukumbu Masijala ya Kawaida-X 3 POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 21st Septemba2015

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ·zilizotajwa katika tangazo hili.

Nafasi zinazotangazwa 'ni kama ifuatavyo:-

Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La ll: Nafasi 5
Nafasi 3 -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya kawaida
Nafasi I -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Ardhi -
Nafasi I -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Afya

Ngazi ya Mshahara: TGS B

Mwombaji awe na sifa zifuatazo-
Awe. amehitimu Elimu ya Kidato Cha Nne (IV) au sita (VI) aliyefuzu mafunzo ya cheti cha utunzaji
laimbukumbu katika mojawapo ya fani za masijala ya kawaida, Afya na Ardhi.

Majukumu:

Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya kawaida

(i) Kutafuta kumbukumbulmajalada yanayohitajiwa nawasomaji
(ii) Kuweka majalada katika makundi
(iii) Kuweka kumbukumbu( barna, nyaraka nk) katika majalada
(iv) Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbulnyaraka.
(v) Kuweka/kupanga kumbukumbu sehemu ya kuhifadhia

Sifa nyingine za Jumla:
(i) Mwombaji awe raia wa Tanzania
(ii) Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40.
(iii} Maombi yake yaambatishwe picha (passport size) na vielelezo rya sifa zake.
(iv) Cheti cha kuzaliwa kiambatishwe pia
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S.L.P. 526, Bariadi
Tangazo hili Iimetolewa leo tarehe 21.09.2015

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12.10.2015 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri

Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill- x 3 Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Application Deadline: 12 Nov 2015
Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill- x 3 POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 21st Septemba2015
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ·zilizotajwa katika tangazo hili.

Nafasi zinazotangazwa 'ni kama ifuatavyo:-
Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill: x 3
Ngazi yaMshah'ara: TGS B

Mwombaji awe na sifa zifuatazo
Awe amehitimu Elimu ya Kidato Cha Nne (IV) au sita (VI) aliyefuzu mafunzo ya Stashahada
(Diploma) kwenye fani ya Maendeleo yaJamii kutokavyuo vya Maendeleo ya Jamii au vyuo vingine
vinavyotambuliwa na Serikali.

Majukumu:
(i)Kuratibu shughuli za mandeleo ya jamii katika mtaa zikiwemo za wanawake na watoto.
(ii) Kuhamasisha na kuwawezesha wananchi kupanga na kutekeleza kazi za maenedeleo
(iii) Kuwezesha jamii kubuni, kupanga, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo.
(iv) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na kimaendeleo,

Sifa nyingine za Jumla:
(i) Mwombaji awe raia wa Tanzania
(ii) Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40.
(iii} Maombi yake yaambatishwe picha (passport size) na vielelezo rya sifa zake.
(iv) Cheti cha kuzaliwa kiambatishwe pia
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S.L.P. 526, Bariadi
Tangazo hili Iimetolewa leo tarehe 21.09.2015

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12.10.2015 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri.

Mtendaji Wa Mtaa III- x 73 Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Application Deadline: 12 Oct 2015
Mtendaji Wa Mtaa III- x 73 POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 21st Septemba2015

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ·zilizotajwa katika tangazo hili.

Nafasi zinazotangazwa 'ni kama ifuatavyo:-

MTENDAJI WA MTAA ill: Nafasi 73
Ngazi ya Mshahara: TGS B
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-
Awe amehitimu Elimu ya Kidato Cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahadal
cheti katika'moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo
ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali.

Majukumu:
(i) Kuratibu na kutekeleza Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri
(ii) Kuishauri kamati ya Maendeleo ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katikaMtaa.
(iii) Kusimamia utekelezaji wa Sheria ndogo na sheria zingine zinazoturnika katika Mtaa.
(iv) Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri.
(v) Kutekeleza na kusimamia shughuli za maendeleo katika Mtaa.
(vi) Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao.