Wednesday, November 28, 2018

AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI TEKNOLOJIA ZA TOVUTI NA MEDIA ANUAI (WEB AND MULTIM EDIA ADMINISTRATOR - 5 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuandaa na kufanya    majaribio ya wavuti    na    medianuai
           (Develop and test web pages and multimedia content);
ii.Kuboresha    wavuti   na  media   anuai   (Update   web   pages   and multimedia;
iii.Kuweka na   Kuhakikisha    usalama   wa   wavuti   na   medianuai
           (Implement security for web pages and multimedia content);                 
iv.Kutoa  huduma   bora  za  kitaalam  kwa  watumiaji   wa  Tovuti  na media anuai (Provide  quality customer  service), governing  policy);  na
v.Kufanya  kazi nyingine  atakazopangiwa   na mkubwa  wake wa kazi
           zinazoendana   na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu  wa Stashahada  ya juu  au Shahada ya Kompyuta  katika moja ya  fani  zifuatazo; Sayansi  ya  Kompyuta,   Teknolojia   ya  Habari, Teknolojia  ya Habari na Mawasiliano  au Menejimenti  ya Mifumo  ya Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): CMS and web development tools, Graphics and photo imaging software tools, Video production and editing tools, Animation tools

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATION
Login to Apply

AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (ICT SECURITY) - 8 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kusimamia    maboresho    ya  programu    za  kompyuta    kwa  wakati (Ensure  software patches are implemented   timely);
ii.Kusakinisha,   kusanidi  na kuboresha  programu za  kuzuia  virusi vya Kompyuta,(Install,software ), configure,and update    antivirus;
iii.Kuelimisha hatari  na watumiaji   masuala   mbalimbali   yanayohusu udhaifu  katika   mifumo   ya  TEHAMA  (Alert users  on various  security risks, threats and vulnerabilities);
iv.Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara (Perform systems  audit on regular basis);
v.Kuweka  viwango vya usalama na  udhibiti  katika mifumo ya TEHAMA kwa  watumiaji   (Implement    security   mechanisms    and controlsin computer   systems);  na
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa  na mkubwa   wake wa kazi zinazoendana  na" sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu   wa  Stashahada   ya juu  au  Shahada  ya  Kompyuta   katika moja    ya   fani    zifuatazo; Uhandisi   wa   Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta,Teknolojia ya Habari,  Teknolojia   ya Habari na Mawasiliano au   Menejimenti     ya   Mifumo    ya   Habari. Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): SSCP – Systems Security Certified Practitioner, CSSLP – Certified Secure Software Lifecycle Professional, CEH - Certified Ethical Hacker

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATION
Login to Apply

AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MIFUMO YA TEHAMA (SYSTEMS ADMINISTRATOR ) - 23 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07

JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuchambua   na kukusanya  mahitaji  ya watumiaji  wa programu  ya Kompyuta,  (Analyse  User Requirements) Kuandika   programu   za Kompyuta   (Implement   software  systems (Write  and document  code);
ii. Kufanya  majaribio  ya sehernu timilifu  za programu  za Kompyuta
            (Perform unit systems (module testing);
iii.  Kufanya  majaribio  ya usanidi  wa mifumo  ya TEHAMA  (Perform testing of system  configurations);
iv. Kufanyamajaribio ya   programuza Kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji(Conductinguseracceptancetest); na
v. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa   na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu  wa Stashahada  ya juu  au Shahada  ya Kompyuta  katika moja ya fani  zifuatazo;     Uhandisi   wa  Kompyuta,   Sayansi  ya  Kompyuta, Teknolojia ya  Habari,  Teknolojia   ya  Habari  na  Mawasiliano  au  Menejimenti ya  Mifumo   ya    Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): MCSE Productivity Solutions, Expert Vmware, Certified Professional - Data Center Virtualization (VCP-DCV) Storage (IBM, EMC, NETAPP) Certifications RHCE-Red Hat Certified Engineer CompTIA Server+ certification