AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER GRADE II) - 51 POST

Employer: Ministry of Lands, Housing and Human Settlement Development
Date Published: 2015-01-16
Application Deadline: 2015-02-05


JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
  • Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika kompyuta.
  • Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria.
  • Kufanya ukaguzi wa viwanja.
  • Kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji wa miliki kwa visivyoendelezwa kwa mujibu wa sheria.
  • Kuwasiliana na wateja kuhusu Hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
  • Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na Uthamini au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitano.
AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER GRADE II) - 51 POST AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER  GRADE II) - 51 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, January 21, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.