Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill- x 3 Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Application Deadline: 12 Nov 2015
Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill- x 3 POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 21st Septemba2015

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ·zilizotajwa katika tangazo hili.

Nafasi zinazotangazwa 'ni kama ifuatavyo:-

Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill: x 3

Ngazi yaMshah'ara: TGS B

Mwombaji awe na sifa zifuatazo
Awe amehitimu Elimu ya Kidato Cha Nne (IV) au sita (VI) aliyefuzu mafunzo ya Stashahada
(Diploma) kwenye fani ya Maendeleo yaJamii kutokavyuo vya Maendeleo ya Jamii au vyuo vingine
vinavyotambuliwa na Serikali.

Majukumu:
(i)Kuratibu shughuli za mandeleo ya jamii katika mtaa zikiwemo za wanawake na watoto.
(ii) Kuhamasisha na kuwawezesha wananchi kupanga na kutekeleza kazi za maenedeleo
(iii) Kuwezesha jamii kubuni, kupanga, kutekeleza na kusimamia miradi ya maendeleo.
(iv) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na kimaendeleo,

Sifa nyingine za Jumla:
(i) Mwombaji awe raia wa Tanzania
(ii) Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40.
(iii} Maombi yake yaambatishwe picha (passport size) na vielelezo rya sifa zake.
(iv) Cheti cha kuzaliwa kiambatishwe pia
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S.L.P. 526, Bariadi
Tangazo hili Iimetolewa leo tarehe 21.09.2015


Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12.11.2015 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri
Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill- x 3 Halmashauri ya Mji wa Bariadi Maendeleo Ya Jamii Msaldizi Ill- x 3 Halmashauri ya Mji wa Bariadi Reviewed by ISSAH JUMA on Monday, November 02, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.