Katibu Mahsusi - Daraja la III (x 2) Halmashauri ya Wilaya ya Karatu

Application Deadline: 23 Mar 2016
Katibu Mahsusi - Daraja la III (x 2) POSITION DESCRIPTION:
Source: Mwananchi 9th March 2016

HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU

NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu anatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:-

2. Katibu Mahsusi - Daraja la III – Nafasi 2

Sifa

• Wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza (shorthand) maneno 80 kwa dakida moja na wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika programu za windows. Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.

Mshahara

Cheo hiki kina ngazi ya mshahara wa TGS B yaani Tshs. 390,000/= hadi Tshs. 489,000/= kwa mwezi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Mwombaji aambatishe CV, nakala za Vyeti vya taaluma, na kuzaliwa. Pia katika barua ya maombi ni vyema kukawa na namba ya simu.

Jinsi ya kutuma maombi
Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-

Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Karatu
S.L.P 190
KARATU


Mwisho wa kutuma maombi tarehe 23 machi mwaka 2016 kabla ya saa 9:30 mchana
Katibu Mahsusi - Daraja la III (x 2) Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Katibu Mahsusi - Daraja la III (x 2)  Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, March 10, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.