Mhasibu Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi

Application Deadline: 17 Jun 2016
Mhasibu POSITION DESCRIPTION:

Source Majira,1st June 2016 CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI TANZANIA [COTWU (T)]
TANGAZO
NAFASI ZA KAZI
Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania kinatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:-


3. Mhasibu
NAFASI1
SIFA:
• Awe na Master of Accounting and Finance au
• Certificate of Completion of the Certified Public accountant, CPA"
• Awe na uwezo wa kuandaa Taarifa za Fedha za Chama
• Awe na uwezo wa kubuni mikakati ya kukuza na kuongeza mapato ya Chama
• Awe na uwezo wa kuandaa Bajeti ya Chama ya mwaka
• Awe na uwezo wa kusimamia Kanuni na Taratibu za
• Fedha za Chama kwa mujibu wa Katiba ya Chama
• Awe na uwezo wa kusimamia manunuzi na malipo yote ndani ya Chama
• Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa Kaimu Katibu Mkuu kupitia anuani ifuatayo:-
Kaimu Katibu Mkuu,
COTWU (T)-Makao Makuu,
S.L.P 13920,
DAR ES SALAAM
Mhasibu Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi Mhasibu Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi Reviewed by ISSAH JUMA on Friday, June 03, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.