Kutembea na Kutafuta Wateja_(uwe unaishi mbeya mjini) at MS LIMITED

Application deadline 2027-12-15
Location
Mbeya Mjini Mbeya
Description
Malipo: Tsh300,000 kwa kila wateja 100 wapya au Tsh3,000 kwa kila mteja mpya ambaye utampata
ANGALIZO: KAZI HII SIO YA KUTEMBEZA BIDHAA BALI NI KAZI YA KUTAFUTA WATU AMBAO WAKO TAYARI KUTUMIA HUDUMA ZETU
SIFA ZA MWOMBAJI WA KAZI:
• Uwe na miaka chini ya 30
• Uwe tayari kutembea kwa umbali mrefu
• Uwe na uwezo wa kushawishi watu
• Uwe unaishi mbeya mjini

 JINSIA YA KUOMBA KAZI:
• Tuma maneno “SALES VENDOR” to +255755149499 iliupate kazi hii
Kutembea na Kutafuta Wateja_(uwe unaishi mbeya mjini) at MS LIMITED Kutembea na Kutafuta Wateja_(uwe unaishi mbeya mjini)  at MS LIMITED Reviewed by ISSAH JUMA on Sunday, October 08, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.