MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST

MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST
Employer: Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
Date Published: 2018-07-30
Application Deadline: 2018-08-13


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
MAJUKUMU 
i.Kusikiliza kuamua migogoro yote ya Ardhi na Nyumba kwa Mujibu wa Sheria Na.2 ya Mwaka 2002;
ii.Kusikiliza na kutoa uamuzi Rufaa kutoka Mabaraza ya Kata;
iii.Kufanya marejeo kwa mashauri yaliyosikilizwa na Mabaraza ya Kata; na
iv.Kusimamia utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya na Mabaraza ya Kata yaliyo kwenye eneo husika.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
i.Awe na Shahada ya Sheria na kuendelea kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na kumaliza mafunzo kazini (Internship) au Postgraduate diploma kutoka Shule ya Sheria Tanzania;
ii.Awe mwaminifu, awe na msimamo na mtu asiyeweza kuyumbishwa;
iii.Awe hajawahi kushitakiwa katika Mahakama yeyote na kupatikana na hatia; na
iv.Awe na uzoefu wa miaka mitano (5) katika masuala ya Sheria na kutolea uamuzi

REMUNERATION: Salary Scale LSSE. 2 
APPLY HERE 
MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST MWENYEKITI WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA (CHAIRPERSON) - 20 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Saturday, August 04, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.