Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II (x 3) Halmashauri ya Wialya ya Hanang

Application Deadline: 23 Oct 2015
Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II (x 3) POSITION DESCRIPTION:
Majira 01 Oct 2015

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II: - NAFASI - 3

SIFA ZA MWOMBAJI:
Mwomb aji awe amehitimu kidato cha Nne , mwenye cheti cha utunzaji Kumbukumbu katika fani ya Masijala

MAJUKUMU:
1. Kutafuta mafaili yanayohitajika na wasomaji.
2. KucJhibili upokeant. uandikishaji wa kumbukurn.bu/nyaraka ..
3. Kuchambua,kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na
somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya malumizi ya Ofisi.
4. KuwckCl/kupanga kumbukumbuznyaraka katika rcki (file racks!cabinels) katika masjala/vyumba
vya kuhifadhia kumbukumbu.
5. Kuweka kumbukumbu (barua. nvaraka nk) kalika mafaili.
6. Kuanclaa Iaturis! (index) na nyenzo nyingine za kurahlalehe upatikanaf wa kumbukumbu na taarifa.

MSHAHARA:
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara za Serikali yaani TGS.B-1
APPLICATION INSTRUCTIONS:
N.B. MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE:
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzarua na wenye umri usiozidi miaka 45
II. Waombaji wote waambanishe cheti cha kuzaliwa
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma wapitishie e barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiandilishe ipasavyo.
iv. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheteza (Detailed C.V.) yenye
anwani na namba za simu za kuaminika pamojaria majina ya wedharnlm (referees) watatu
wa kuaminika. "
v, Maombi yote yaambatane na vyeti vya taatuma, maelezo, nakala Zenye vyeti vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale walio fikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano we kudondoka au kupotea. - Picha moja Passport size ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
vii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 23 Oktoba 7-015
viii. Hati ya metokeo ya Kidato cna Nne na Sila (Statement of Result) bavuekubanke.
ix. Maombi yanaweza kuandlkwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA HANANG,
S.L.P.2,
KATESH - HANANG
Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II (x 3) Halmashauri ya Wialya ya Hanang Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II (x 3) Halmashauri ya Wialya ya Hanang Reviewed by ISSAH JUMA on Friday, October 16, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.