Sunday, January 5, 2020

AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18


JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
·         Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela.
·         Kuandaa michoro ya Mipangomiji.
·         Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji.
·         Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi.
·         Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja.
·         Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Stashahada ya juu/Shahada katika fani ya Mipangomiji kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.


REMUNERATION: Salary Scale TGS.E
Login to Apply

No comments:

Post a Comment