Katibu Mahsusi Daraja La III- TGS. B ( x 5) Halmashauri ya Bumbuli

Application Deadline: 22 May 2015
Katibu Mahsusi Daraja La III- TGS. B ( x 5) POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Bumbuli kwa mujibu wa Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. CB.170/369/01/H/138 cha tarehe 23/04/2015 taka kwa Katibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma, anatangaza nafasi zifuatazo za ajira kwa watanzania wote wenye sifa na wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45.

1. KAZI YA Katibu Mahsusi Daraja La III- TGS. B ( NAFASI 5)
A) Sifa za waombaji:
i.Wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo yo Uhazili na kufaulu mtihani
wa Hatua yo Tatu,
ii. wawe wamefaulu soma la Hati Mkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 80
kwa dakika moja.
Iii. wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka Chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali na kupata Cheti katika programu za
Windows,Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.

B) Kazi za kufanya:
i. Kuchapa boruo. taarifa na nyaraka za kawaida.
Ii. Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada no nyaraka zitakazo hitajika katika shughuli zokozi Ofisini. .
iii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
IV. Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maafisa no kuyakusanya, kuyatunza no kuyarudisha sehemu zinazohusika.
v.Kutekeleza kazi zozate atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa
kazi.

APPLICATION INSTRUCTIONS: MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
Maombi vote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji. Halmashauri ya Bumbuli.
S.L.P. 111. BUMBULI.

Maombi vote yaambatane na vivuli vya vyeti vya taaluma. mafunzo no vyeti
vya kuzaliwa vilivyothibitishwa na Mahakama au na mtu yeyote aliyeidhinishwa.
Waombaji waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (CV) yenye anwani
na namba za simu za kuaminika pamoja na majina yo wadhamini wa tatu wa kuaminika.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22/05/2015 saa 9:30 Alaslrl.
Maombi vote yatumwe kupitia Posta kwa anuani tajwa hapo juu.
Waombaji waliopita (shortlisted) ndiyo watakaotaarifiwa kwa ajili ya kuja
kufanya usaili.

Tangazo hili limetolewa na;
Beatrice K. Msomisi
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA BUMBULI
Katibu Mahsusi Daraja La III- TGS. B ( x 5) Halmashauri ya Bumbuli Katibu Mahsusi Daraja La III- TGS. B ( x 5)  Halmashauri ya Bumbuli Reviewed by ISSAH JUMA on Saturday, May 09, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.