Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja la II-TGS. B( x 4) Halmashauri ya Bumbuli

Application Deadline: 22 May 2015
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja la II-TGS. B( x 4) POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Bumbuli kwa mujibu wa Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. CB.170/369/01/H/138 cha tarehe 23/04/2015 taka kwa Katibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma, anatangaza nafasi zifuatazo za ajira kwa watanzania wote wenye sifa na wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 45.

KAZI Ya Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja la II-TGS. B (NAFASI4)

A) Sifa za waombajl:
i. Waombaji wawe wamehitimu kidato cha IV au kidato cha VI.
ii. Wawe na Cheti cha Utunzaji wa Kumbukumbu katika moja wapo ya Fani za
Afya, Masjala na Ardhi.

B) Kazi za kufanya:
i. Kutafuta nyaraka/majalada yanayohitajiwa na wasomaji.
ii. Kudhibiti upokeaji na uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
Iii. Kuweka barua/nyaraka katika majalada .
iv. Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
v.Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE
Maombi vote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji. Halmashauri ya Bumbuli.
S.L.P. 111. BUMBULI.

Maombi vote yaambatane na vivuli vya vyeti vya taaluma. mafunzo no vyeti
vya kuzaliwa vilivyothibitishwa na Mahakama au na mtu yeyote aliyeidhinishwa.
Waombaji waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (CV) yenye anwani
na namba za simu za kuaminika pamoja na majina yo wadhamini wa tatu wa kuaminika.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22/05/2015 saa 9:30 Alaslrl.
Maombi vote yatumwe kupitia Posta kwa anuani tajwa hapo juu.
Waombaji waliopita (shortlisted) ndiyo watakaotaarifiwa kwa ajili ya kuja
kufanya usaili.

Tangazo hili limetolewa na;
Beatrice K. Msomisi
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA BUMBULI
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja la II-TGS. B( x 4) Halmashauri ya Bumbuli Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja la II-TGS. B( x 4)  Halmashauri ya Bumbuli Reviewed by ISSAH JUMA on Saturday, May 09, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.