Katibu Mahsusi Daraja la III ( x 2) Halmashauri ya Wilaya ya Same

Application Deadline: 21 Aug 2015
Katibu Mahsusi Daraja la III ( x 2) POSITION DESCRIPTION:
From Habari Leo, 31st Julai 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU

TAWA LA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA SAME.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawatangazia nafasi ishirini na nne (23) za kazi. ' Maombi ya kujaza nafasi yoyote kati ya hizo yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa zilizotajwa katika tangazo hili.

KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III- ( NAFASI 2).

SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe na Elimu ya Kidato cha Nne (IV),
Awe amehudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu,
Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno BO kwa dakika rnoja,
Awe amepata rnafunzo ya Komputa kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali na Kupata
Cheti katika Program za Windows, Microsoft Office, Internet, Email na Publisher,

KAZI NA MAJUKUMU:
i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
ii) Kusaidia kupokea Wageni na Kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa, ,
iii) Kusaidia kutunza kumbukumbul taarifa za matukio, miadi, Wageni, tarehe za vikao safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopagwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
iv) Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika
katika shughuli za kazi hapo Ofisini.
v) Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa Wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu tarifa zozote atakazokuwa amepewa na wasaidizi hao. '
vi) Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maafisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu zlnazohuslka.
vii) Kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi.

Ngaz; ya Mshahara: TGS B

UTARATIBU WA UOMBAJI:
•Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya
Wilaya ya Same.
•Barua za maombi ziambatishwe na nakala za Vyeti vya Elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size).
•Barua za maombi ziambatishwe na maelezo Binafsi ya Mwombaji (Cv).
•Waombaji waliosoma Nje ya Nchi waambatishe uthlbltlsho wa Vyeti vyao kutoka Baraza la Mtihani la
Taifa (NECTA).
•Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na umri usiozidi miaka 4S.
•Waombaji wote waliokidhi vigezo wataitwa kwenye usaili
•Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (original Certificate)
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu
APPLICATION INSTRUCTIONS:
N.B: Maombi yote yatumwe kwa anuanl ifuatayo:-

MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WI LAYA YA SAME
S.L.P 138,
SAME
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 21.08.2015 saa 9:30 Alasiri.

Monica P.Z Kwiluhya
MKURUGENZI MTENDAJI(W)
SAME
Katibu Mahsusi Daraja la III ( x 2) Halmashauri ya Wilaya ya Same Katibu Mahsusi Daraja la III ( x 2)  Halmashauri ya Wilaya ya Same Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, August 06, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.