Msaidizi wa Kumbukumbu Masijala ya Ardhi Halmashauri ya Mji wa Bariadi

Application Deadline: 12 Oct 2015
Msaidizi wa Kumbukumbu Masijala ya Ardhi POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 21st Septemba2015
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi anatangaza nafasi za kazi themanini na moja (81). Maombi ya kujaza nafasi tajwa hapa chini yanakaribishwa kutoka kwa Mtanzania yeyote mwenye sifa ·zilizotajwa katika tangazo hili.

Nafasi zinazotangazwa 'ni kama ifuatavyo:-

Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La ll: Nafasi 5
Nafasi 3 -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya kawaida
Nafasi I -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Ardhi -
Nafasi I -Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Afya

Ngazi ya Mshahara: TGS B

Msaidizi wa kumbukumbu masijala ya Ardhi -

(i) Kushughulikia madai/malalamiko ya hati za viwanja, na kutunza kumbukumbu zake
(ii) Kutunza kumbukumbu za cadastral surveys na mahesabu yake
(iii) Kuandaa nakala za cadastral site plans
(iv) Kutunza miongozo ya ramani na viwanja

Sifa nyingine za Jumla:
(i) Mwombaji awe raia wa Tanzania
(ii) Awe na umri wa kati ya miaka 18 na 40.
(iii} Maombi yake yaambatishwe picha (passport size) na vielelezo rya sifa zake.
(iv) Cheti cha kuzaliwa kiambatishwe pia
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S.L.P. 526, Bariadi
Tangazo hili Iimetolewa leo tarehe 21.09.2015


Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12.10.2015 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri
Msaidizi wa Kumbukumbu Masijala ya Ardhi Halmashauri ya Mji wa Bariadi Msaidizi wa Kumbukumbu Masijala ya Ardhi Halmashauri ya Mji wa Bariadi Reviewed by ISSAH JUMA on Monday, September 21, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.