Fundi Cherehani

Application Deadline: 31-10-2016

Description
 
Tunahitaji Fundi Cherehani mwenye sifa zifuatazo:

1. Muaminifu
2. Anajua kuhudumia wateja
3. Anajua kushona nguo aina zote
4. Mbunifu
5. Anajua kutumia cherehani aina zote
6. Ana uwezo wa kufundisha wengine
7. Amesomea ushonaji kutoka chuo kinachotambulika
8. Ana uzoefu wa miaka mingi
Application Instructions
Tuma:
1. Barua ya maombi ikieleza sifa zako na vyeti husika kupitia kitufe cha APPLY NOW apo chini
 
 
Fundi Cherehani Fundi Cherehani Reviewed by ISSAH JUMA on Tuesday, October 18, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.