Mhasibu Msaidizi -(x2) at Boimanda Modern Construction Co Ltd

Application Deadline: 31-12-2016

Description
From Guardian, 2nd Dec 2016

BOIMANDA MODERN CONSTRUCTION CO LTD

INATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZIFUATAZO

MHASIBU MSAIDIZI (Nafasi mbili)

a. Sifa
Awe tayari kufanya kazi ama katika mkoa wa Iringa, Njombe au katika kituo chochote atakachopangiwa na mwajiri
Awe na stashahada (diploma) katika masomo ya uhasibu
Awe na ufahamu wa kutosha kuhusu utaratibu, kanuni na sheri a za makampuni
Awe mbunifu, mwaminifu, anayejituma na anayeweza kujisimamia mwenyewe
Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45 na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili
Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja na mifumo ya fedha katika kompyuta (Accounting packages)

b. Majukumu
Awe na uwezo wa kupokea na kulipa fedha
Ajue namna ya kutunza daftari la fedha
Ajue kufanya usuluhishi wa hesabu za benki
Ajue kukagua hati za malipo
Ajue kupitisha malipo kulingana na kanuni za fedha
Ajue namna ya kusimamia kazi za wasaidizi wa hesabu
Atakuwa msaidizi wa mhasibu mkuu

Application Instructions
Mkurugenzi Mkuu,
Boimanda Modern Construction Company Ltd,
S.L.P 1491,
Iringa.
Mhasibu Msaidizi -(x2) at Boimanda Modern Construction Co Ltd Mhasibu Msaidizi -(x2) at Boimanda Modern Construction Co Ltd Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, December 08, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.