Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni

Application deadline 2017-08-14
Location
Dar Es Salaam
Description
Mwananchi 1/8/2017
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni anapenda kuwatangaiia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa kama ifuatavyo :-
SIFA
Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne (iv) au cha sita (vi) aliohudhuria
mafunzo ya utunzaji wa kumbukumbu na kupata cheti cha cha utunzaji
kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na
Ardhi.
Kazi na majukumu
(i.) Kutafuta kumbukumbu / nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
(ii). Kudhibiti upokea]i, uandikishaji wa kumbukumbu/ nyaraka
(iii). Kuchambu. kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika
makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa
ajili ya matumizi ya ofisi
(iv). Kuweka /kupanga kumbukumbu( barua nyarakan.k) katika reki (file
. recks)/cabinets katika masijala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
(v). Kuweka kukmukumbu (barua. nyaraka n.k) katika mafaili
(vi). kushughulikia maombi ya kumbukumbu/ nyaraka kutoka Taasisi za
Serikali
NGAZI VA MSHAHARA NI TGS B
MASHARTI VA JUMLA:
Mwombaji lazima awe Raia wa Tanzania.
Awe amehitimu na Kupata Cheti cha Taaluma cha Kidato cha Nne (IV) au (VI) NB. Results Slip hazikubaliki
Awe na Cheti cha Kuzaliwa
Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo;-
i) Nakala za Vyeti vya Mwombaji vilivyothibitishwa.
ii) Maelezo binafsi ya Mwombaji (Curriculum Vitae).
iii) Picha ndogo za rangi (Coloured Passport size) mbili (2) za Mwombaji
za hivi karibuni.
Kila mwombaji lazima awe na Umri kati ya miaka 18 - 45
Waombaji wenye Sifa Pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawashauri kuomba

 APPLICATION
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono, zikiwa na anwani kamili ya Mwombaji, pamoja na namba ya simu na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI WA MANISPAA
MANISPAA VA KINONOONI
S. L. P. 31902
2BARABARA YA MOROGORO,
14883 DAR ES SALAAM
Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II X 1 at Manispaa ya Kinondoni Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, August 09, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.