NAFASI ZA KAZI (AJIRA) ZILIZOTANGAZWA SERIKALINI 20/2/2020

Ewe Mhitimu mwenye sifa zifuatazo tambua kuna nafasi wazi za kazi takribani maeneo/fani arobaini (40)  kwa ajili yako tafadhali tembelea Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz au “recruitment portal” portal.ajira.go.tz ya Sekretarieti ya Ajira uweze kuwasilisha maombi yako ya kazi kulingana na nafasi wazi ya kazi iliyotangazwa. Nimechanganya hizi sifa kwa lugha ya kiingereza na kiswalihi kulingana na kila tangazo na mahitaji yake.
Hivyo ukiona una sifa husika tafadhali tembelea eneo la matangazo ya kazi hutakosa nafasi ya kazi, ni vyema ukachangamkia fursa hizi ndani ya mwezi Februari na Machi, 2020 kwa kuwasilisha maombi yako ya kazi.
  1. DIRECTOR OF BUSINESS DEVELOPMENT (RE-ADVERTISED) 
  • Bachelor Degree and Master’s Degree in Engineering (Civil, Mechanical, Electrical, Chemical or any other engineering discipline), Earth Science (Geology, Geochemistry, Geophysics), Finance and Economics
  • A minimum of ten (10) years of relevant working experience with outstanding performance, out of which at least five (5) years should be in Senior Managerial level.
  • Registration with relevant profession Board is mandatory, where applicable
  1. MANAGER GEOSCIENCE SERVICES –  (RE- ADVERTISED)
  • Bachelor degree in Earth science (Geochemistry Geology and Geophysics) and a Master’s Degree in Earth Sciences (Geochemistry Geology and Geophysics), Project Management, Engineering, Business Administration and any other related equivalent qualification.
  • A minimum of 5 years’ of relevant working experience with good performance, out of which at least three (3) years should be in Senior Position.
  • Registration with relevant professional Board is mandatory, where applicable.
  1. SECRETARY TO THE FUND
Master’s degree either in Law (LLM),  International Business and Management or Business Administration;
First degree in Law (LLB)
Must be an advocate of the High Court of Tanzania; with
At least (10) years of work experience, five of which must have    been served in senior managerial position in a reputable institution. 
  1. STATE ATTORNEY GRADE II
Bachelor degree in Law (LLB) from recognized higher learning institution. The Candidate must have successfully completed Post Graduate Diploma in Legal Practice (PDLP) of Law School of Tanzania. Also, must be computer literate and having good English language command both written and spoken. General experience in Civil Litigation, Arbitration, Employment, Constitution and Human Rights matters will be an added advantage.
  1.   CUSTOMER SERVICE OFFICER
Bachelor Degree either in Marketing, Business Administration (majoring in Marketing or Public Relations) or Mass Communication and Public Relations from recognized Institution; Computer knowledge is compulsory; and relevant working experience of one (1) year in a reputable organization.
  1.  MARKETING OFFICER II 
First Degree or Advanced Diploma either in Journalism, Public Relations, Marketing, Mass Communication or equivalent qualification with a major in Communication or Marketing.  Must be computer literate.
  1. TAX MANAGEMENT OFFICER II 
Bachelor Degree or Advanced Diploma either in Taxation, Accountancy, Finance, Public Finance, Economics or Business Administration majoring in Finance or Accountancy from a recognized Institution/University.
  1. ACCOUNTANT II
Possession of either Intermediate certificate issued by NBAA, Bachelor of Commerce majoring in Accountancy, Bachelor of Arts majoring in Accountancy, Advanced Diploma in Accountancy or Advanced Diploma in Government Accounting from recognized higher learning institutions. Must be Computer literate.
  1. ARTISAN-ELECTRICAL
Form IV and/or VI Secondary School Academic Certificates with Electrical Installation Trade Test Level II and III. Valid Driving License Class C, C1, C2, C3 and/or E will be an added advantage.
  1.    TECHNICIAN – ELECTRICAL
Ordinary Diploma in Electrical Engineering from recognized institution. A driving license class C, C1, C2 and E will be an added advantage.
  1.     DRIVER
Form IV and/or VI Secondary School Academic Certificates with Basic and/or Professional Driving Certificate from National Institute of Transport (NIT) & and/or VETA;
•         Valid Driving License Class C/C1/C2/C3 and/or E;
•    Trade Test Grade II or III I in Automobile Engineering/Mechanics from recognized institution is an added advantage;
•    Minimum of one (1) years of related working experience in a Reputable Organization.
  1.     PERSONAL SECRETARY II
Diploma in Secretarial Studies/Computer Studies or equivalent qualifications from recognised institution who have passed Shorthand (English) and Hati Mkato (Kiswahili) at a speed of 80 words per minute with computer knowledge in MS-Word, MS-Excel, Internet, Email, MS-Publisher from a recognized institution.
  1.    OFFICE ASSISTANT II
National Form IV Certificate with passes in English and Kiswahili. The candidate should have attended training course in Office Assistance or Office Management conducted by VETA or any other recognized training institution.
  1.   DRIVER II 
Form IV/VI certificate with passes in Kiswahili and English, a valid class “CI” or class “E” Driving License and possession of Advanced Drivers Grade II certificate from a recognized institution with a minimum of one year working experience.
  1.    TAX MANAGEMENT OFFICER II
Bachelor Degree or Advanced Diploma either in Taxation, Accountancy, Finance, Public Finance, Economics or Business Administration majoring in Finance or Accountancy from a recognized Institution/University
  1.      TAX MANAGEMENT ASSISTANT II
Diploma either in Taxation or Accountancy from a recognized Institution.
  1.        MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu
  1.      FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne (IV) au sita (VI) na kufuzu mafunzo ya Ufundi ya miaka miwili/Stashahada katika fani ya Umeme kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
  1.        FUNDI SANIFU MSAIDIZI (MECHANICAL)
Kuajiriwa wenye elimu ya Kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya mwaka mmoja katika fani yenye mwelekeo wa Ufundi Mechanical kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
  1.       FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)
  • Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi ya miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi;
  • Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali   katika fani za fundi ujenzi;
  • Wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi hatua ya I ( ujenzi) kutoka Chuo cha Ufundi kinachotambuliwa na Serikali; au
  • Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za fundi ujenzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  1.       MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II 
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye stashahada (Diploma) ya Uvuvi au Uhifadhi wa Samaki na Masoko (Fish Processing & Marketing) kutoka vyuo vya uvuvi vya Mbegani, Kunduchi au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
  1.         DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza (bachelor degree) ya Tiba ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Madaktari wa Mifugo nchini.
  1.          MCHUMI DARAJA LA II
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Uchumi (Economics) Takwimu (Statistics)
Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc Agriculture Economics &Agribusness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye  ujuzi wa kutumia kompyuta.
  1.           AFISA MIFUGO DARAJA LA II
 Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Mifugo (Animal   Science)      kutoka   Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali au sifa inayolingana nayo.
  1.         KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu.  Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
  1.      MSAIDIZI WA MAKTABA II (LIBRARY ASSISTANT )
Kuajiriwa waliohitimu cheti cha Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ambao wamefaulu mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate Course) yatolewayo na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye cheti kinacholingana na hicho.
  1.       AFISA UTUMISHI DARAJA LA II
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo: - Menejimenti ya Raslimali Watu (Human Resources Management), Elimu ya Jamii (Sociology), Utawala na Uongozi (Public Administration), Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
  1.   MTENDAJI WA KATA DARAJA LA III 
Kuajiriwa waliohitimu kidato cha IV au cha VI na kuhudhuria mafunzo ya Stashahada yenye mwelekeo wa Utawala (Public Administration and Local Gorvernment) au Sheria kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
  1.     OPERATA WA KOMPYUTA MSAIDIZI (ASSISTANT COMPUTER OPERATOR)
Kuajiliwa waliomaliza kidato cha nne au cha sita wenye Astashahada ya mwaka mmoja ya masomo ya awali ya Kompyuta yanayojumuisha Uendeshaji wa Kompyuta wa Msingi (Basic computer operations), Progam Endeshi (Operating system), na Program Tumizi (Application Programs) au Fundi Sanifu wa Kompyuta kutoka Kwenye Taasisi/Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  1.    OPARETA WA KOMPYUTA II
Kuajiriwa wenye stashahada ya masomo ya kompyuta kutoka kwenye Taasisi/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
  1.    MTENDAJI WA KATA DARAJA LA III
Kuajiriwa waliohitimu kidato cha IV au cha VI na kuhudhuria mafunzo ya Stashahada yenye mwelekeo wa Utawala (Public Administration and Local Gorvernment) au Sheria kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
  1.     MCHUMI DARAJA LA II 
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Uchumi (Economics) Takwimu (Statistics)
Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc Agriculture Economics &Agribusness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye  ujuzi wa kutumia kompyuta.
  1.    MTENDAJI WA KATA DARAJA LA III
Kuajiriwa waliohitimu kidato cha IV au cha VI na kuhudhuria mafunzo ya Stashahada yenye mwelekeo wa Utawala (Public Administration and Local Gorvernment) au Sheria kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
  1.    MCHUMI DARAJA LA II
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Uchumi (Economics) Takwimu (Statistics), Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc Agriculture Economics &Agribusness) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye  ujuzi wa kutumia kompyuta.
  1.    AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II 
Kuajiriwa Wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyamapori Kutoka Chuo Kikuu Kinachotambuliwa na Serikali.
  1.       AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI II (ASSISTANT  COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER GRADE II)
Kuajiriwa Wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye Stashahada ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii (Buhare au Rungemba) au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
  1.     FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAJI - (TECHNICIAN GRADE II - WATER)
Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.
  1.   MKAGUZI WA HESABU DARAJA LA II (AUDITOR GRADE II)
Kuajiriwa wenye Shahada ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu (Advanced Diploma in Accounting) kutoka vyuo au taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali. Wenye uzoefu wa kazi za ukaguzi wa hesabu kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) watafikiriwa kwanza.
  1.  DAKTARI MIFUGO MKUFUNZI DARAJA LA II
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Bodi ya Madaktari Tanzania.
Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira

APPLICATION
OR
NAFASI ZA KAZI (AJIRA) ZILIZOTANGAZWA SERIKALINI 20/2/2020 NAFASI ZA KAZI (AJIRA) ZILIZOTANGAZWA SERIKALINI 20/2/2020 Reviewed by ISSAH JUMA on Friday, February 21, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.