Dereva Daraja La II Halmashauri Ya Wilaya Ya Misungwi

Application Deadline: 30 May 2015
Dereva Daraja La II POSITION DESCRIPTION:
Halmashauri Ya Wilaya Ya Misungwi
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI ANAWATANGAZIA WANANCHI NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI KAMA IFUATAVYO
DEREVA DARAJA LA II- TGS A – NAFASI 1

SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kidato cha IV wenye leseni daraja C ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka (3) bila kusababisha ajali, wenye cheti cha majaribio ya ufundi Daraja II

MASHARTI YA JUMLA
Awe raia wa Tanzania
Awe mwenye maadili mazuri
• Hajafukuzwa kazi
• Hajapunguzwa kazi
• Hajafungwa na kupatikana na kosa la jinai
• Awe tayari kufanya kazi eneo lolote Misungwi bila kuhama kwa kipindi cha miaka 5
• Barua ya maombi iambatanishwe na picha (2) za sasa passport size na vivuli (photocopy) vya vyeti vya elimu na Taaluma
• Andika namba ya simu ya mkononi katika barua ya maombi ili kurahisisha mawasiliano
Mwisho wa kupokea maombi ni 30/05/2015 saa 9:00 alasiri
APPLICATION INSTRUCTIONS:
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
S.L.P 20
MISUNGWI
Dereva Daraja La II Halmashauri Ya Wilaya Ya Misungwi Dereva Daraja La II Halmashauri Ya Wilaya Ya Misungwi Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, May 21, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.