Field Officer at Zanzibar Youth Multipurpose Co-operative Ltd (ZYMC)

Application Deadline: 12 Jun 2015
Field Officer POSITION DESCRIPTION:
Zanzibar Youth Multipurpose Co-operative Ltd (ZYMC) ni chama cha Ushirika kilicho sajiliwa kwa sheria No 4 ya mwaka 1986 sheria ya vyama vya Ushirika zanzibar, ZYMC imepewa jukumu la kuvifanyia ukaguzi wa mahesabu vyama vyote vya Ushirika Vya Zanzibar, ili kukamilisha kazi hiyo ZYMC ime amuwa kutowa nafasi 40 za kujitolea kwa watanzania wakaazi wa Zanzibar wenye sifa zi fuatazo;- walio maliza digree ya kwanza katika masuala ya uhasibu, usimamizi wa fedha na uchumi katika vyuo vinavyo tambuliwa na serekali ya mapinduzi ya zanzibar,
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote lazima yaambatanishwe na vifuli vya vyeti vya kumalizia masomo, Cv pamoja na picha za paspoti size mbili.
Maombi yote yatumwe moja kwa moja posta kwa anuwani ifuatayo;

Katibu Mtendaji,
ZYMC,
S.L.P 820, Zanzibar Tanzania
Field Officer at Zanzibar Youth Multipurpose Co-operative Ltd (ZYMC) Field Officer at Zanzibar Youth Multipurpose Co-operative Ltd (ZYMC) Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, May 21, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.