Mhasibu Msaidizi Chuo Cha Madini Mafuta na Gesi Shinyanga

Application Deadline: 03 Jul 2015
Mhasibu Msaidizi POSITION DESCRIPTION:
Tunamhitaji mhasibu msaidizi mwenye sifa zifuatazo
Ana cheti au diploma ya uhasibu
Anajua kompyuta hasa Excel na Database
Anajua QuickBooks
Mrahisi wa kujifunza
Anapenda kazi ya uhasibu
Anauwezo wa kufanya kazi kwenye shinikizo na muda mrefu
Uwezo wa kumaliza kazi kwa muda uliopangwa
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Tuma barua ya maombi na CV yako kwa
Mkuu wa Chuo
Chuo cha Madini Shinyanga
SLP 1016, Shinyanga
Mhasibu Msaidizi Chuo Cha Madini Mafuta na Gesi Shinyanga Mhasibu Msaidizi Chuo Cha Madini Mafuta na Gesi Shinyanga Reviewed by ISSAH JUMA on Monday, June 08, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.