Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kusimamia maboresho ya programu za kompyuta kwa wakati (Ensure software patches are implemented timely);
ii.Kusakinisha, kusanidi na kuboresha programu za kuzuia virusi vya Kompyuta,(Install,software ), configure,and update antivirus;
iii.Kuelimisha hatari na watumiaji masuala mbalimbali yanayohusu udhaifu katika mifumo ya TEHAMA (Alert users on various security risks, threats and vulnerabilities);
iv.Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara (Perform systems audit on regular basis);
v.Kuweka viwango vya usalama na udhibiti katika mifumo ya TEHAMA kwa watumiaji (Implement security mechanisms and controlsin computer systems); na
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na" sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta,Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au Menejimenti ya Mifumo ya Habari. Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): SSCP – Systems Security Certified Practitioner, CSSLP – Certified Secure Software Lifecycle Professional, CEH - Certified Ethical Hacker
REMUNERATION: Salary Scale TGS E
APPLICATION
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (ICT SECURITY) - 8 POST
Reviewed by ISSAH JUMA
on
Wednesday, November 28, 2018
Rating:
No comments: