Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuchambua na kukusanya mahitaji ya watumiaji wa programu ya Kompyuta, (Analyse User Requirements) Kuandika programu za Kompyuta (Implement software systems (Write and document code);
ii. Kufanya majaribio ya sehernu timilifu za programu za Kompyuta
(Perform unit systems (module testing);
iii. Kufanya majaribio ya usanidi wa mifumo ya TEHAMA (Perform testing of system configurations);
iv. Kufanyamajaribio ya programuza Kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji(Conductinguseracceptancetest); na
v. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Uhandisi wa Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano au Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): MCSE Productivity Solutions, Expert Vmware, Certified Professional - Data Center Virtualization (VCP-DCV) Storage (IBM, EMC, NETAPP) Certifications RHCE-Red Hat Certified Engineer CompTIA Server+ certification
REMUNERATION: Salary Scale TGS E
APPLICATION
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MIFUMO YA TEHAMA (SYSTEMS ADMINISTRATOR ) - 23 POST
Reviewed by ISSAH JUMA
on
Wednesday, November 28, 2018
Rating:
No comments: