AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuweka    kumbukumbu     na   taratibu    za   kisasa    na   mbinu    za kufanyia  kazi;
ii.Kutekeleza   chati za mtiririko  wa mifumo  ya nyendo  za taarifa  na udhibiti,
iii.Kuandika   programu   za Kompyuta   (Implement   software  systems (Write  and document  code);
iv.Kufanya   majaribio   ya sehemu  timilifu   za programu   za Kompyuta (Perform unit  systems   (module  testing);
v.Kufanya   majaribio   ya usanidi  wa mifumo   ya TEHAMA   (Perform testing of system  configurations);
vi.Kufanya majaribio ya progamu za kompyuta kulingana na mahitaji ya watumiaji (conducting user acceptance test); na
vii.Kufanya kazi  nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu  wa Stashahada  ya juu  au Shahada  ya Kompyuta  katika moja ya fani zifuatazo;    Sayansi ya Kompyuta au Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): Project Management professional certification (PMP), Quality assurance software testing certification, software testing certification, PMI Professional in Business Analysis (PMI-PBA), Project Management and analysis tools (JIRA, Lucid chart)

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATION
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST AFISA TEHAMA II - FANI YA UCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA (COMPUTER SYSTEMS ANALYSIST) - 16 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, November 28, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.