FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST



FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST
Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2018-07-30
Application Deadline: 2018-08-13


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuandaa mchanga utumikao katika uandaaji wa ‘moulds’ na ‘core’ mbalimbali;
ii.Kutengeneza ‘moulds’ za aina mbalimbali kwa ajili ya usubiaji;
iii.Kusubu brasi na vyuma;
iv.Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika; na
v.Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Usubiaji na Uungaji Vyuma ‘moulding’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2. 

 APPLICATION
CLICK HERE TO APPLY

FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING). - 2 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Tuesday, July 31, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.