Katibu Mahsusi III Halmashauri ya Wilaya Chunya

Application Deadline: 21 Aug 2015
Katibu Mahsusi III POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi,Agosti 7 2015

Katibu Muhtasi III- NAFASI 1.

Sifa:
Awe na elimu yo kidato cha IV au VI
Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili.
Awe amefaulu masomo ya hati Mkato, Kiingereza no Kiswahili, Maneno 80 kwa dakika mojo. .
Awe amehudhuria na kufaulu mafunzo ya Computer katika chuo
chochote kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika
Program za Windows, Microsoft Office, Internet, e.mail no Publisher .
Awe no umri usiopungua miaka 18 no usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi yo mshahara TGS B sawa no Tshs.
345,OOO/=kwa mwezi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Masharti ya Jumla:
Barua za rnoornbi ziambatane no taarifa binafsi (CV) nakala ya Vyeti vya Elimu, Taaluma na Vyeti vya Kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au Wakili wa Serikali.
Asiwe aliacha /kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma.
Picha mojo yo rangi (Passport Size).
Walioajiriwa wapitishe barua za rnoornbi kwa waajili wao wa sasa.
(e) Barua zote ziandikwe kwa mkono kwa anwani sahihi na namba za Simu.
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31/08/2015.

Maombi yatumwe kwa:
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S.L.P. 73,CHUNYA

KUONA NAFASI NYINGINE BOFYA HOPO CHINI>>>>>>>
Katibu Mahsusi III Halmashauri ya Wilaya Chunya Katibu Mahsusi III Halmashauri ya Wilaya Chunya Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, August 13, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.