Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (x 10) Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi

Application Deadline: 25 Aug 2015
Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (x 10) POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, August 5th 2015
KWA NAFASI NYINGINE BOFYA LINK HIYO CHINI>>>> 


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi anatangaza na
kukaribisha maombi ya kazi kwa nafasi za kazi zifuatazo:

Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (Nafasi 10)
A: Sifa
Awe arnehitirnu Kidato cha Nne au Sita na awe amehitimu Cheti cha Utunzaji
Kumbukumbu katika mojawapo ya Fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi

B: Mshahara
Cheo cha Msaidizi wa Kumbukumbu Oaraja la II kina Mshahara wa TGS B
C: Majukumu na Kazi za Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II

Kutafuta Kumbukumbu/NyarakalMafaili yanayohitajiwa na wasomaji
Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa Kumbukumbu Nyaraka
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga Kumbukumbu/nyaraka katika
makundi kulingana na somo husika (Classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi
Kuwekalkupanga Kumbukumbul Nyaraka katika reki (file racks/cabinets)
katika Masjalalvyumba vya kuhifadhia Kumbukumbu
Kuweka Kumbukumbu (barua, nyaraka nk) katika mafaili
Kushuqhulikia maombi ya Kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
KWA NAFASI NYINGINE BOFYA LINK HIYO CHINI>>>> 


Masharti ya jumla kwa nafasi zote
Mwombaji awe Mtanzania umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na kuturnwa kwa anuani iliyotajwa chini
Mwombaji aambatishe nakala za Vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa.
Kwa wale watakaoitwa katika mahojiano (Interview) watatakiwa kufika na nakala halisi za Vyeti husika

APPLICATION INSTRUCTIONS: Mwisho wa kupokea maombi itakuwa tarehe 25.08.2015 saa 9.30 mchana.
Barua zote zitumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya Bariadi
S.L.P. 109, BARIADI.
KWA NAFASI NYINGINE BOFYA LINK HIYO CHINI>>>>
Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (x 10) Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Msaidiziwa Kumbukumbu Daraja La II (x 10) Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, August 13, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.