Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III-x 10 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

Application Deadline: 30 Aug 2015
Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III-x 10 POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 6 August 2015

Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III - nafasi 10

Awe na elimu ya Kidato cha nne (IV) au Sita (VI), awe na Cheti cha Utunzaji wa kumbukumbu katika mojawapo wa fani za Utunzaji kumbukumbu.

Kazi atakazafanya:
Kuandaa na kutunza (Maintain) utaratibu upatikanaji
kumbukumbu/ nyaraka/taarifa
Kutafuta mafaili/kumbukumbu
Kukusanya na kuhifadhi taarifa/kumbukumbu
Kazi hizi atazifanya kwa maelekezo ya wataalam wa kumbukumbu walio juu yako.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Utaratibu wa Kuomba:
Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili waje na vyeti halisi (Original Certificate)
Barua za maombi ziambatane na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
Barua za maombi ziambatanishwe no nakala za vyetivya Elimu, Taaluma,cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
Waombaji wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 usiozidi 45.
Waombaji waandike namba za simu na anuani zao katiko barua yo maombi ..
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/08/2015. Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-

Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
S.LP 174, TABORA.
Sipara Liana Mkurugenzi wa Manispaa Tabora
KWA NAFASI MPYA BOFYA HAPO CHINI>>>>>>> 
Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III-x 10 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Msaidizi wa Kumbukumbu daraja Ia III-x 10 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Reviewed by ISSAH JUMA on Thursday, August 13, 2015 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.