AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (ICT SECURITY) - 8 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kusimamia    maboresho    ya  programu    za  kompyuta    kwa  wakati (Ensure  software patches are implemented   timely);
ii.Kusakinisha,   kusanidi  na kuboresha  programu za  kuzuia  virusi vya Kompyuta,(Install,software ), configure,and update    antivirus;
iii.Kuelimisha hatari  na watumiaji   masuala   mbalimbali   yanayohusu udhaifu  katika   mifumo   ya  TEHAMA  (Alert users  on various  security risks, threats and vulnerabilities);
iv.Kukagua mifumo ya TEHAMA mara kwa mara (Perform systems  audit on regular basis);
v.Kuweka  viwango vya usalama na  udhibiti  katika mifumo ya TEHAMA kwa  watumiaji   (Implement    security   mechanisms    and controlsin computer   systems);  na
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa  na mkubwa   wake wa kazi zinazoendana  na" sifa na fani yake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu   wa  Stashahada   ya juu  au  Shahada  ya  Kompyuta   katika moja    ya   fani    zifuatazo; Uhandisi   wa   Kompyuta, Sayansi ya Kompyuta,Teknolojia ya Habari,  Teknolojia   ya Habari na Mawasiliano au   Menejimenti     ya   Mifumo    ya   Habari. Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): SSCP – Systems Security Certified Practitioner, CSSLP – Certified Secure Software Lifecycle Professional, CEH - Certified Ethical Hacker

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATION
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (ICT SECURITY) - 8 POST AFISA TEHAMA II - FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (ICT SECURITY) - 8 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, November 28, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.