AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kusanifu,  kusakinisha  na kusanidi  miundombinu ya ndanina nje ya  rntandao  wa  Kompyuta   (Design,  install  and configure LAN and WAN infrastructure);
ii. Kufanya   majaribio   ya  vifaa  vya  mtandao   wa  Kompyuta   (Test network equipment  and devices);
iii.Kusimamiautekelezaji   wa  maelekezo   ya  usalama wa  mtandao kwa  mujibuwa miongozo  ya usalama  wa mtandaowa kompyuta (Implement network  security guidelines);
iv.Kutathmini    na   kurekebisha    hitilafu    zozote   za   mtandao    wa
          Kompyuta (Perform network trouble shooting   and repair); na                 
v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa   na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu  wa Stashahada  ya juu au Shahada ya Kompyuta  katika moja ya  fani zifuatazo;   Uhandisi  wa  Kompyuta,   Sayansi  ya  Kompyuta, Elektroniki   na  Teknolojia  ya  Habari na  Mawasiliano au  mafunzo mengine  yanayohusiana  na fani hii. Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): CCNA Routing and Switching, CCNA Security, CCNA Wireless, CCNA Data Center

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATION
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI MITANDAO YA TEHAMA (NETWORK ADMINISTRATOR) - 23 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, November 28, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.