AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuandaa,   kuandika   na kufanya   majaribio   ya programu (Plan, codeand 
   test program), Kusahihisha   programu   (Debug  program);
ii. Kuweka    na   kuhakikisha     usalama    wa   programu    (Incorporate security 
     setting  into program);
iii. Kushirikiana    na  wadau  wengine   katika  kutengeneza   programu 
     mbalimbali (Corporate  with other software  developers);  na
iv.Kufanya  kazi nyingine  atakazopangiwa   na mkubwa  wake wa kazi 
     zinazoendana na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu wa Stashahada   ya juu  au Shahada  ya Kompyuta   katika  moja ya fani   zifuatazo;   Sayansi   ya  Kompyuta,   Teknolojia   ya  Habari, Teknolojia ya Habari  na Mawasiliano na Menejimenti   ya Mifumo  ya Habari.
  Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): Web Application development framework (ASP .Net (C#), Laravel, Angulajs, angular material, Bootstrap, Node), System version control (Git), Database Mangement systems (MySQL, SQL Server, Postre sql), Mobile Application development (Android), Web APIs

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATIONS
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, November 28, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.