AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI TEKNOLOJIA ZA TOVUTI NA MEDIA ANUAI (WEB AND MULTIM EDIA ADMINISTRATOR - 5 POST

Employer: OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07


JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kuandaa na kufanya    majaribio ya wavuti    na    medianuai
           (Develop and test web pages and multimedia content);
ii.Kuboresha    wavuti   na  media   anuai   (Update   web   pages   and multimedia;
iii.Kuweka na   Kuhakikisha    usalama   wa   wavuti   na   medianuai
           (Implement security for web pages and multimedia content);                 
iv.Kutoa  huduma   bora  za  kitaalam  kwa  watumiaji   wa  Tovuti  na media anuai (Provide  quality customer  service), governing  policy);  na
v.Kufanya  kazi nyingine  atakazopangiwa   na mkubwa  wake wa kazi
           zinazoendana   na sifa na fani yake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu  wa Stashahada  ya juu  au Shahada ya Kompyuta  katika moja ya  fani  zifuatazo; Sayansi  ya  Kompyuta,   Teknolojia   ya  Habari, Teknolojia  ya Habari na Mawasiliano  au Menejimenti  ya Mifumo  ya Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): CMS and web development tools, Graphics and photo imaging software tools, Video production and editing tools, Animation tools

REMUNERATION: Salary Scale TGS E 

APPLICATION
Login to Apply
AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI TEKNOLOJIA ZA TOVUTI NA MEDIA ANUAI (WEB AND MULTIM EDIA ADMINISTRATOR - 5 POST AFISA TEHAMA II - FANI YA USIMAMIZI TEKNOLOJIA ZA TOVUTI NA MEDIA ANUAI (WEB AND MULTIM EDIA ADMINISTRATOR - 5 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Wednesday, November 28, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.