FUNDI SANIFU DARAJA II- ARDHI II (PHOTOLITHOGRAPHY), - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18


JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
·         Kuandaa vifaa vya uchapaji wa ramani,vitabu,vipeperushi n.k
·         Kutoa nakala za picha za anga katika uwiano mbalimbali
·         Kupanya maandalizi yanayohusu upigaji wa ramani na picha za anga.
·         Kuchapa ramani.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Uchapaji Ramani (photolithography) kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.C
Login to Apply
FUNDI SANIFU DARAJA II- ARDHI II (PHOTOLITHOGRAPHY), - 2 POST FUNDI SANIFU DARAJA II- ARDHI II (PHOTOLITHOGRAPHY), - 2 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Sunday, January 05, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.