MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18


JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
·                           Sehemu ya Upimaji Milki (Cadastral Survey)
-                             Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.
·                           Sehemu ya Topographic na Geodetic Surveys
-        Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa     kwenye komputa.
·                           Sehemu ya Ramani
-                             Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment);
-                            Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
-                            Kutunza kumbukumbu za picha za anga.
·                           Sehemu ya Hydrographic Surveys
        -Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.
·                           Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa
-    Kufanya kazi za nje ya Ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
·         Kuajiriwa wenye Stastahada ya juu/Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS). Au
·         Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au National Council of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimaji ardhi.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.E
Login to Apply
MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II), - 1 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Sunday, January 05, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.