FUNDI SANIFU DARAJA II - UPIMAJI ARDHI (TECHNICIAN GRADE II - SURVEY), - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18


JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
·         Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji, vifaa vya upimaji na mahitaji ya jumla
·         Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
·         Kufanya upimaji na kukusanya taarifa za takwimu zote za upimaji
·         Kuchora “sketch” ya michoro ya upimaji
·         Kufanya mahesabu ya upimaji

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
·         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Upimaji Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.C
Login to Apply
FUNDI SANIFU DARAJA II - UPIMAJI ARDHI (TECHNICIAN GRADE II - SURVEY), - 1 POST FUNDI SANIFU DARAJA II - UPIMAJI ARDHI (TECHNICIAN GRADE II - SURVEY), - 1 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Sunday, January 05, 2020 Rating: 5

1 comment:

  1. Maombi ya kazi ya udereva Mimi Daniel aroni na vyeti vifatavyo chakuzariwa na charasaba na Cha udereva na reseni nipo tabora 0657663042

    ReplyDelete

Powered by Blogger.