MTHAMINI DARAJA LA II (VALUER GRADE II), - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18


JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
·        ·         Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi.
·         Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
·         Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Land management and Valuation kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali katika fani za Usimamizi Ardhi na Uthamini. Au
·         Kuajiriwa wenye cheti cha NCPS katika fani ya Usimamizi Ardhi na Uthamini.
REMUNERATION: Salary Scale TGS.E
Login to Apply
MTHAMINI DARAJA LA II (VALUER GRADE II), - 1 POST MTHAMINI DARAJA LA II (VALUER GRADE II), - 1 POST Reviewed by ISSAH JUMA on Sunday, January 05, 2020 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.