Application Deadline: 31 Jul 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kwa niaba ya Bodi ya Ajira ya Halmashauri anawatangazia wananchi wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi za kazi kama ifuatavyo;
KATIBU MUHTASI DARAJA LA III (NAFASI 2)
NGAZI YA MSHAHARA: TGS B
SIFA ZA KUINGILIA:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidoto cha IV waliohudhuria mafunzo ya Uhozili na kufaulu mtihani wa hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
KAZI ZA KUFANYA
i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii} Kusaidia kupokea wageni na kuwasaidia shida zao ,kuwaelekeza sehemu wanapowezo kushughulikiwa
iii} Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni,tarehe za vikao,safari za mkuu wake, na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi , na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
iv} Kutekeleza kazi zozote atakozokuwa amepangiwa na Msaidizi wake wakazi.
- Awe raia wa Tanzania.
-Awe na umri wa miaka 18-45
- Awe hajawahi kufukuzwa kazi , kupunguzwa , kuachishwa au kustaafishwa kazi katika utumishi wa umma
- Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote apa wilayani kwa muda wa miaka mitatu (3) bila kuomba uhamiisho.
-Walioajiriwa wapitishemaombi yao kwa waajiri wao.
-Barua zote za maombi ziandikwe na Mwombaji kwa mkono wake mwenyewe zikiambatana na vivuli "photocopy" vya vyeti pamoja na picha mbili(2) za "passport size" zioneshe namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano kisha zitumwe kwa: .
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S. L. P 60,
MANYONI.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 31.07.2015
Wale ambao wataitwa kwenye usaili, wataandikiwa baruo na majina yao yatatolewa kwenye magazeti pia yatabandikwa kwenye mbao za matangazo wilayani na watajulishwa siku ya usaili
Katibu Muhtasi: Daraja la III POSITION DESCRIPTION:
From Mwananchi, 16July 2015Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kwa niaba ya Bodi ya Ajira ya Halmashauri anawatangazia wananchi wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi za kazi kama ifuatavyo;
KATIBU MUHTASI DARAJA LA III (NAFASI 2)
NGAZI YA MSHAHARA: TGS B
SIFA ZA KUINGILIA:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidoto cha IV waliohudhuria mafunzo ya Uhozili na kufaulu mtihani wa hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
KAZI ZA KUFANYA
i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii} Kusaidia kupokea wageni na kuwasaidia shida zao ,kuwaelekeza sehemu wanapowezo kushughulikiwa
iii} Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni,tarehe za vikao,safari za mkuu wake, na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi , na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
iv} Kutekeleza kazi zozote atakozokuwa amepangiwa na Msaidizi wake wakazi.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
MASHARTI YA UJUMLA KWA WAOMBAJI WOTE:- Awe raia wa Tanzania.
-Awe na umri wa miaka 18-45
- Awe hajawahi kufukuzwa kazi , kupunguzwa , kuachishwa au kustaafishwa kazi katika utumishi wa umma
- Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote apa wilayani kwa muda wa miaka mitatu (3) bila kuomba uhamiisho.
-Walioajiriwa wapitishemaombi yao kwa waajiri wao.
-Barua zote za maombi ziandikwe na Mwombaji kwa mkono wake mwenyewe zikiambatana na vivuli "photocopy" vya vyeti pamoja na picha mbili(2) za "passport size" zioneshe namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano kisha zitumwe kwa: .
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA
S. L. P 60,
MANYONI.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 31.07.2015
Wale ambao wataitwa kwenye usaili, wataandikiwa baruo na majina yao yatatolewa kwenye magazeti pia yatabandikwa kwenye mbao za matangazo wilayani na watajulishwa siku ya usaili
Katibu Muhtasi: Daraja la III Halmashauri ya Wilaya ya Mayoni
Reviewed by ISSAH JUMA
on
Thursday, July 16, 2015
Rating:
No comments: