- Application deadline 2017-09-18
Location
Karagwe
Kagera
Description
Daily News6/9/2017Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kupitia Kibali cha Ajira kiHchotolewa na Katibu Mkuu, Otisi ya Rais - UTUMISHI chenye Kumb. Na. CFC.26/20S/01I"FF"/9 kilichotolewa tarehe 22 Agosti, 2017 anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa katika kada ya
Mtendaji wa Kijiji:-
- Mtendaji wa Kijiji III (Village Executive) Nafasi tatu (2)
Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne au cha sita namafunzo ya Astashahada au chetl katika moja ya fani zifutazo:-
• Utawala
• Sheria
• Elimu ya .Jamil
• Usimamizi wa Fedha
• Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
B. KAZI NAMAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJJJI III
• Kuratibu na kueirnarnia upanqa]! wa mipango ya maerideteo ya Kijiji.
• Kusimamia ulinzi na Usalarna wa Raia na mali zao
• Kukusanya mapato ya Halmashauri ya Kijiji
• Kusimamia, kukusanya kUhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za ViJiji
• Katibu wa Mikutano ya Halmashauri ya Kijiji
• Kuslmarnia utungaji wa sheria ndogo za Vijiji
• Afisa Masuuttrra MtendaJi Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kupokea kusikiliza na kutatua rnatatarniko na migogoro ya wananchi
C.MSHAHARA
• Ngazi ya mshahara itaanzia TGS B yaani Tshs. 390,000/= kwa -mwezi.
D. MASHARTI YA KUAJIRIWA
• Waombaji wanatakiwa kuwa raia wa Tanzania na wawe tayari kufanya kazi sehemu yoyote na wakati wowote.
• Waombaji wawe umri wa kuanzia miaka 18 hadi 45
• Waombaji wawe hawajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai kufungwa jela au kufukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
• Waombaji waambatishe maelezo yao binafsi (CV)
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma,vyeti vya kidato cha nne (IV) au sita (VI), cheti cha kuzaliwa na picha mbili (2) za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina nyuma.
• Transcript,Testmonial na Provisional Results havitapokelewa au kukubaliwa
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuldhirnshwa+rta mamlaka husika TCU na NACTE na taarifa ya uhakiki iambatishwe kwenye maombi.
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za Kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Barua zote ziandikwe kwa mkono
APPLICATION
Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 18/09/2017 saa 9.30.Alasiri.
NB: Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.LP.20,
KARAGWE.
Mtendaji wa Kijiji III (Village Executive) X 2 at Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
Reviewed by ISSAH JUMA
on
Tuesday, September 12, 2017
Rating:
No comments: